Sehemu ya umati wa wananchi uliofurika mjini Tunduma, mkoani Songwe wakati Mgombea Urais wa CCM, Dk. John Magufuli akihutubia na kuwaomba kura.
Dk. Magufuli akinadi sera za CCM na mafanikio yaliyopatikana wakati wa uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Tano.
Post a Comment