Featured

    Featured Posts

SAMATTA ACHUANA NA MESI, RONALDO WACHEZAJI WANAOFUATILIWA SANA DUNIANI

 

Namba 1. Messi 2. Ronaldo, 3. Samatta huku Bale na Neymar wakiwa namba 13 & 14

on

Mtanzania Mbwana Samatta @samagoal77 jina lake limeingia katika orodha ya Top 3 ya wachezaji waliofuatiliwa sana katika mtandao wa transfer market wakati wa usajili wa dirisha la majira ya joto.

Samatta anatajwa kuwa namba 3 baada ya Lionel Messi wa FC Barcelona na Cristiano Ronaldo wa Juventus katika mtandao huo maarufu duniani.

Hata hivyo jina la Samatta ambaye amedumu katika Ligi maarufu ya EPL kwa miezi sita, limeonekana kukuwa kwa haraka zaidi kutokana na uwezo na kuwa mchezaji pekee Tanzania aliyewahi kucheza EPL na sasa yupo Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo.


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana