Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsimamisha Tundu Lissu, mgombea urais kupitia CHADEMA kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia kesho Jumamosi hadi 9 Oktoba 2020 kutokana na kukiuka maadili ya uchaguzi.
Kwa mujibu ya taarifa ya NEC malalamiko yalitolewa na vyama vya NRA na CCM.
Post a Comment