USWISS KUIPA TANZANIA MSAADA WA SH.BILIONI 44.1 KWA AJILI YA TASAF
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James (kulia) na Balozi wa Uswiss nchini Tanzania Didier Chassot, wakisaini Mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswis milioni 17.8 sawa na Sh. bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kwa mwaka 2020-2023 na Mkataba wa Mfuko wa Pamoja wa Afya kwa mwaka wa fedha 2020/21, jijini Dodoma.
Post a Comment