Featured

    Featured Posts

Video: MWENYEKITI WA WAFUGAJI TANZANIA WAMBURA AMUOMBEA KURA LUKUKI DK MAGUFULI

 


Mwenyekiti wa Wafugaji Tanzania, Wambura amefanya kampeni karibu mikoa 6 kumuombea kura Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli na amejinasibu kuwa ana mtaji mkubwa wa wafugaji takribani milioni 28 Tanzania nzima.

Wambura alizungumza hayo katika kampeni za CCM katika Kata ya Makole, jijini Dodoma hivi karibuni.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana