Featured

    Featured Posts

ASKOFU DK CHANDE AONGOZA KUMUOMBEA MBUNGE MAVUNDE KANISA LA EAGT NAZARETH DODOMA+ Video

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la EAGT Nazareth Tample Ipagala, Dodoma, Askofu Dk. Evance Chande amewaongoza wachungaji kumuombea Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, wakati wa ibada ya kutoa shukrani za kumaliza ujenzi wa kanisa na uzinduzi wa Kitabu cha Kutimia kwa Mpango wa Mungu Kupitia Mateso Novemba 22, 2020.

Mavunde ambaye pia alitumia fursa hiyo kanisani kuwashukuru wananchi kwa kumuamini mwara nyingine kupigia kura na kupata ushindi mnono yeye, Rais John Magufuli katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. 

Mavunde akisindikizwa na Askofu Dk Chande baada ya kushiriki uzinduzi wa Kitabu hicho ambacho alikinunua kwa sh. 500,000.
Mavunde akiagana na mmoja wa watoto wa Askofu Chande.
 


Imeandaliwa na Richard Mwaikenda Mhariri Blog ya Taifa ya CCM

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana