Featured

    Featured Posts

DIWANI CHOUGHLE AKUTANA NA ASKOFU RUWAICHI, MCHUNGAJI MWAIPOPO NA UONGOZI WA ST. ALBAN'S ANGILICAN CATHEDRAL, JIJINI DAR ES SALAAM

Diwani mteule nwa Kata ya Kivukoni Ilala jijini Dar es Salaam, Sharik Choughle akimsalimia Askofu Mkuu wa kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam, Thaddeus Ruwaichi kwa ajili ya kujitambulisha na kuwa na mazungumzo naye, leo. 
Choughle akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Askofu Ruwaichi.
Choughle akizungumza na Askofu Ruwaichi

Diwani Choughle akiwa na Kiongozi wa  St Alban Anglican Cathedral, leo👇



Diwani Choughle akiwa na Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front Mchungaji Gwakisa Mwaipopo.



author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana