Featured

    Featured Posts

DIWANI MTEULE KATA YA KIVUKONI SHARIK CHOUGHLE AKUTANA NA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR NA MKURUGENZI WA ILALA KUJADILI KERO ZA WANANCHI

Diwani mteule wa Kata ya Kivukoni, Ilala jijini Dar es Salaam Sharik Choughule akisalimiana na Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Sipora Liana  alipofika katika Ofisi zake kwa ajili ya kuzungumza masuala mbalimbali ya kiutendaji ikiwemo kutafuta ufumbuzi wa kero zinazokabili wananchi katika Kata ya Kivukoni.
☝Diwani mteule wa Kata ya Kivukoni, Ilala jijini Dar es Salaam Sharik Choughule akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jumanne Shauri alipofika katika Ofisi zake kwa ajili ya kuzungumza masuala mbalimbali ya kiutendaji ikiwemo kutafuta ufumbuzi wa kero zinazokabili wananchi katika Kata ya Kivukoni.

☝Diwani wa Kata ya Kivukoni Sharik Choughle akiwa Ofisini kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam  kwa ajili ya mazungumzo hayo.👇

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana