Featured

    Featured Posts

DIWANI WA KATA YA KIVUKONI SHARIK CHOUGHULE AVALIA NJUGA KERO YA POPO WANAOSUMBUA WAKAZI WA MTAA WA SEAVIEW KATIKA KATA HIYO

Diwani wa Kata ya Kivukoni jijini Dar es Salaam, Sharik Choughle akimsalimia mkazi wa Seawiew alipoenda kwenye duka la mkazi huyo, wakati akifuatilia kupata ufumbuzi wa kero ya popo walioenea katika mitaa mbalimbali ya Kata yake ambapo popo hao wamekuwa wakisababisha kero kwa wananchi kwa kuchafua mazingira na pia kuwakosesha usingizi, mkazi huyo akiwa mmojawapo.
Mwananchi huyo akimuonyesha Diwani Sharik Choughle popo walitapakaa kwenye miti karibu ya duka lake.

Popo wakionekana kutulia kwenye miti wakati wa mchana Diwani huyo Sharik Choughle alipofika
Diwani wa Kata ya Kivukoni Sharik Choughle akimsalimia Mwenyekiti wa shila la CCM la Seaview Agnes Heri (80), alipomtembelea nyumbani kwake, leo akiwa katika ziara ya kutafuta ufumbuzi wa kero ya popo wanaosumbua wakazi wa eneo hilo. Agnes ni Mwalimu na Hakim Mstaafu.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana