RAIS Mteule wa Zanzibar aliyeshinda kupitia Chama Cha Mapinduzi,CCM, Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuapishwa kesho Jumatatu Novemba 2, Unguja Zanzibar.
Dk. Mwinyi katika Uchaguzi Mkuu alipata asilimia 76. 27 huku mpinzani wake Maalim Seif akiwa mshindi wa pili kwa asilimia 19.87
Post a Comment