Featured

    Featured Posts

DK KIMEI AAPISHWA KUWA MBUNGE WA VUNJO

Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiapishwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kuwa  Mbunge wa Jimbo la Vunjo kupitia CCM katika kikao cha kwanza cha Mkutano wa Bunge wa 12 bungeni Dodoma Dodoma leo. Wabunge mbalimbali waliapiashwa mara baada ya  Ndugai kuchaguliwa kuwa Spika kwa muhula wa pili.   (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Dk Kimei akipongezwa na Spika Ndugai.Kulia ni Katibu wa Bunge, Steven Kagaigai

Katibu wa Bunge, Dk. Kagaigai akimkabidhi nyaraka Dk. Kimei


 Dk. Kimei akiondoka baada ya kuapishwa.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana