Mama Salma Kikwete Mbunge wa Mchinga, ambaye ni Mke wa Rai mstaafu wa Awamu ya ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo hata yeye ni mmoja wa wabunge wapya wanachama wa klabu hiyo.
Mama Salma akipongezwa na Mwenyekiti wa Tawi la Simba Mjengoni, Mbunge w Mlalo, Rashid Shangazi baada ya kutoa nasaha zake katika hafla hiyo.
Spika wa Bunge ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla hiyo, akiteta jambo na baadhi ya wabunge wanachama wa Simba, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji na Aeshi.
Wakipata msosi
Rais wa Simba, Mohamed Dewji akimkabidhi zawadi ya jezi Spika Job Ndugai
Mwenyekiti wa Tawi la Simba Mjengoni, Rashid Shangazi akikabidhiwa zawadi ya jezi
Baadhi ya wabunge wanachama wa Simba
Spika Ndugai akiondoka huku akisindikizwa na Mo Dewji pamoja na Mbunge wa Bumburi, January Makamba.
Post a Comment