MMMM
Wanawake kutoka vikundi vya Vikoba na Ujasiriamali kutoka Dar es Salaam, Pwani na Morogoro, wakiwa wameketi kushudia kila kitu hatua kwa hatua katika Kongamano hilo.👇
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Godwe alipowasili ukumbini, ahutubia, naye Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Dar es Salaam, naye akatia neno, kisha akashangiliwa👇
NNNNNN
Burudani ya Kimondo Sound ikihanikiza wakati wa kongamano hilo👇
Watoa huduma za aina mbalimblai wakiwa kazini kwenye Kongamano hilo.👇
MC Farida Akida akiwatambulisha Kamati ya Maadalizi ya Lonhgamano hilo.👇
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Godwin Godwe na Mbunge Janeth Mahawanga wakiwa na wanakamati ya Kongamano hilo mwishoni mwa kongamano.👇
Post a Comment