Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, umeng'ara na kuwa na muonekano wa kipekee kutokana na kunakshiwa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Tanzania ambaye ni Rais anayemaliza muhula wake wa kwanza Dk. John Magufuli, kama picha hizi mbalimbali zilizopigwa leona Mpigapicha wetu Richard Mwaikenda zinavyoonesha. Sherehe hizo zimepangwa kufanyika Wiki hii, Novemba 5, 2020 katika Uwanja huo.
Post a Comment