Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020. PICHA YA IKULU
Rais Dk. John Magufuli akimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa baada ya kumuapisha Ikulu ya Chamwino, Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment