Mama Samia amewasili nchini kushiriki katika mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Botswana, Malawi na Zimbabwe amazo ni nchi zinazochangia vikosi vya Ulinzi wa Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa kilichopo katika nchi hiyo.
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AWASILI BOTSWANA LEO
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan, akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sir Seretse Khama Nchini Botswana leo.
Post a Comment