Featured

    Featured Posts

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika Ukumbi wa Ikulu, Chamwoino jijini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiwa na Makiamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Mstaafu Dk. Ali Mohammed Shein baada ya kikao cha Kamati kuu ya CCM kilichofanyika leo Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma, leo. Kulia ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana