Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkarisha Rais mpya wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi kumakabidhi rasmi dhamana za uongozi, Rais huyo mpya alipofika Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Amaani, leo.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Rais mpya wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi kumakabidhi rasmi dhamana za uongozi, Rais huyo mpya alipofika Ikulu Jijini Zanzibar, baada ya kuapishwa katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Amaani, leo.
Post a Comment