Featured

    Featured Posts

VIDEO: STENDI MPYA YA MABASI YA MIKOANI, NJE YA NCHI YA MBEZI LUIS DAR YAANZA KWA MAJARIBIO

 Kutoka Mbezi Luis DSM, leo limefanyika jaribio la kwanza kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani na Nchi za Jirani kilichopo Mbezi Luis, Dar es Salaam, hii ni video ya Drone ikionesha Mabasi yalivyoingia na kutoka Stand.

Mkuu wa Mkoa wa DSM Aboubakar Kunenge amesimamia jaribio hilo ambapo amesema>>”Mabasi yanajaribu tuone yanavyopark, utaratibu wa kuingia na kutoka, JPM aliagiza Stand ikamilike mwisho wa Mwezi huu , agizo la JPM liko palepale, tunapambana ili tukamilishe”

“Mafundi wanafanya kazi usiku na mchana, eneo hili litakuwa na Barabara 12, yote ili kuondoa usumbufu na Magari yaingie kwa urahisi, leo tunafanya test tu”

DRONE PICTURES: STAND MPYA YA MABASI MBEZI LUIS “MAJARIBIO NOV 25, IMEFIKIA 90%, KUNA HOTEL, MADUKA”


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana