Bi harusi Mtarajiwa Sango Swedi akiwa katika Pozi
Bi harusi Mtarajiwa Sango Swedi akipambwa na mpambaji toka Tabby Salon iliyopo Iringo Musoma
Bi harusi Mtarajiwa Sango Swedi akiwa katika Pozi
Bibi wa zake Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali wakifatilia jambo wakati mjukuu wao akitunzwa katika afla fupi iliyofanyika kwao eneo la Kigera Bondeni Musoma ambapo Ndoa inatarajiwa kufungwa Disemba 19, 2020, Saa 4 asubuhi nyumbani kwao Bi harusi mtarajiwa na kufuatiwa na tafrija fupi itakayofanyika katika Kijiji cha Seka Musoma Vijijini nymbani kwa bwana Harusi
Mashangazi na ndugu na jamaa wa Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali wakitoa burudani
Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali akiwa na marafiki zake
Bi Harusi Mtarajiwa Sango Swedi Mussa Bilali akiwa na Mama yake mzazi Mariam Omary (kulia)
Post a Comment