Watu 14 wamefariki wengine watatu wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Kiini cha Mkiwa mkoani Singida iliyohusisha gari ndogo ya abiria na Lori lililokua linatokea Dar es Salaam kwenda Kahama.
Kamanda wa Polisi mkoani Singida, Sweetbert Njewika, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akidai kuwa chanzo ni uzembe wadereva wa gari ya abiria.
Post a Comment