Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akiwa na Viongozi wa Mtaa wa Ukwamani na Mwenyekiti wa CCM wa Kata hiyo baada ya kuwasili ukukmbini wakati wa mahafali hayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba na Watatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kawe Athumani Athumani. Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili ukumbini. Kulia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba na Watatu kulia ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kawe Athumani Athumani.
mmmmmm
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akitafakari hali ya mambo baada ya kuwasili ukumbini Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Hamisi Chilemba akifuatiwa na Mjumbe wa Shila la CCM la Kwa Ndobe, Kitwana Mwinchande na Mjumbe wa Serikali ya Mtaa huo Rehema Msuta.
Mjumbe wa Shila la CCM la Kwa Ndobe, Kitwana Mwinchande akiwa na Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Ukwamani Rehema Msuta.na Faraji Mag'andila..
Mhitimu wa Elimu ya awali (Chekechea) wa Mkomboe Nursery School Restuta John Masawe akisoma kwa ufasaha risala ya wahitimu wakati wa mahafali hayo. anayemsaidia ni Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Mkomboe Madam Halima Yusuf. Kushoto ni Diwani Mutta akimsikiliza mhitimu huyo kwa makini.
Mhitimu wa Elimu ya awali (Chekechea) wa Mkomboe Nursery School Restuta John Masawe akimkabidhi risala Diwani Mutta baada ya kuisoma.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Mkomboe Madam Halima Yusuf. akisoma risala ya shule mbele ya Diwani Mutta.
Mwalimu Mkuu Msaidizi wa Mkomboe Madam Halima Yusuf. akikabidhi risala kwa Diwani Mutta baada ya kuisoma.
Mkuu wa shule hiyo akimkaribisha Diwani Mutta kuzungumza na waazazi na wanafunzi.
Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akizungumza wakati wa Mahafali ya Mkomboe Nursery School, iliyopo mtaa wa Ukwamani, Diwani huyo aliahidi kushirikiana na Uongozi wa Serikali ya Mtaa huo wa Ukwani kuisaidia shuloe hiyo katika masuala mbalimbali ikiwemo vifaa vya kusomea na madawati. Katika hatua za awali Rutta aliichangia shule hiyo sh. laki moja, na kuendesha harambee ya papo hapo kwa ajili ya fedha za kuwapa walimu shukrani kwa kutunza na kuwafundisha watoto vizuri japo katika mazingira magumu. Kisha akawaita watoto na kufurahi nao👇
Kisha akaendelea na hotuba yake
Kwa furaha Mkuu wa shule hiyo akampa zawadi ya maji Diwani Mutta
"Haya kwaherini, nitakuja siku nyingine", Diwani wa Kata ya Kawe jijini Dar es Salaam, Mutta Rwakatare akasema wakati akiwaaga Mkuu wa shule hiyo na baadhi ya wazazi kabla ya kuondoka baada ya mahafali hayo . Maelezo na Picha na Bashir Nkoromo, Msimamizi Mkuu wa Blog ya taifa ya CCM
Post a Comment