Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Bakari Lembariti kilichotokea siku ya Jumapili Disemba 2020. nyumbani kwake Oysterbay, Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kuelekea Newland, TPC Moshi kwa maziko ambayo yanatarajiwa kufanyika Disemba 21, 2020
Post a Comment