Featured

    Featured Posts

DK. BASHIRU: HAKUNA MGAWO UNAOLETWA MAKAO MAKUU ILI KUPANDISHWA MTU CHEO, KUTEULIWA AU KUPATA AJIRA, WATAKAOTAPELIWA NI WAO WENYEWE

"Watu watakaotapeliwa kwa kisingizio kwamba kuna mgao unaletwa makao makuu, ama kuhusu ajira, kupandishwa cheo au uteuzi, hao wametapeliwa wao wenyewe, hakuna mtu katika uongozi wa sasa anayeweza akaleta hela hapa makao makuu, hayupo." amesema Katibu Mkuu Dk. Bashiru. Dk. Bashiru ameyasema hayo baada ya kupokea malalamiko mbalimbali ya wananchi na wanachama waliodai kutapeliwa na viongozi na watumishi wasio waaminifu kwa kisingizio cha kupandishwa cheo, ajira au kupata uteuzi. Tafadhali Bofya Hapo umsikilize Dk. Bashiru👇

 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana