Spika wa Bunge, Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Chonga kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Salum Mhamed Shafi tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Mtambwe kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Khalifa Mhamed Issa tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Katikati ni Katibu wa Bunge, Stephen KagaigaiSpika wa Bunge, Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Konde kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Hatibu Said Haji tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Wete kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Omar Ali Omar tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment