Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipozumgumza na Uongozi wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) jana, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar (Picha zote na Ikulu)
RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA KUKUZA UWEKEZAJI ZANZIBAR (ZIPA)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar ZIPA Salum Khamis Nassor wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu Mamlaka hiyo, wakati alipofanya mazunguzo na Ungozi katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, jana.
Post a Comment