Featured

    Featured Posts

MWENYEKITI WA UWT MKOA WA DODOMA, MALUJE ATOA SALAMU ZA POLE MSIBA WA KADA WA CCM EGLA MAMOTTO


 Wanawake wa UWT Mkoa wa Dodoma poleni kwa msiba mkubwa uliotupata kwa kuondokewa na mpendwa wetu Egla Mamotto, mpambanaji mwenzetu aliyekuwa shujaa hakukata tamaa kwenye maisha yake aligombea ubunge kupita tiketi ya vijana 2010 na akagombea kupitia UWT mwaka 2015 na mwaka huu 2020 aligombea kupitia umoja wa Wazazi.

 Mungu amekupa viwango vingine vya juu zaidi  Egla umetutangulia kwa Baba, pumzika kwa Amani. Poleni umoja wa Vijana. Poleni Umoja wa Wazazi, Poleni UWT tukutane msibani.

 Makatibu tusaidie  kukusanya michango tumsindikize mwenzetu. Mwenyekiti wa UWT Mkoa, Neema Majule.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana