Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa za ukweli kwa haraka ili ziweze kushughilikiwa.
Post a Comment