Chamwino, Dodoma
Raise Dk. John Magufuli amemteua aliyekuwa kati Mtendaji was Time ya Madini Tanzania Prof. Shukrani Manya kuwa Mbunge na pia kuwa Naibu Waziri wa Madini.
Prof. Manya anaapishwa leo na Spika wa Bunge Job Ndugai kuwa Mbunge na baadaye mchana ataapishwa na Rais Dk. Magufuli kuwa Naibu Waziri, Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.
Uteuzi huo umekuja kufuatia aliyekuwa ameteuliwa awali kuipoteza nafasi hiyo baada ya kushindwa kuapa juzi, katika mazingira ya kushangaza.
Post a Comment