RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI NA JKT, IKULU MJINI ZANZIBAR, LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elia Kuandikwa, wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kumpa pongezi kwa Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita mwaka huu.
Post a Comment