Marehemu Jangua
Mkuranga, Pwani
Msanii maarufu wa Bongo Movie hapa nchini Mohammed Fungafunga aliyekuwa maarufu katika tasnia hiyo kwa jina la maarufu la Jengua (Pichani) amefariki dunia leo Disemba 15, 2020, Mkuranga mkoani Pwani baada ya kuugua kwa muda mrefu..
Kwa mujibu wa taarifa, Marehemu Jengua alikua akisumbuliwa na maradhi ya kupooza.
Enzi za uhai wake, Mzee Jengua aliigiza maigizo mbalimbali ya kuvutia kama 'Kidedea', 'Handsome wa Kijiji', na 'Kashinde'.
Post a Comment