Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Motisun Group ambaye pamoja na miradi yake mingi alikuwa mmiliki wa Hoteli ya White Sands imeelezwa kuwa amefariki dunia.
Taarifa zimesema Mfanyabiashara huyo maarufu ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache hapa nchini, amefarikikifo mapema leo na taarifa zitatolewa baadaye.
Post a Comment