Spika wa Bunge, Job Ndugai (wa pili kushoto) katika picha ya pamoja na Mbunge wa kuteuliwa na Rais, Prof. Shukrani Manya (wa pili kulia) tukio lililofanyika leo nje ya Ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai na Waziri wa Madini, Dotto Biteko
SPIKA NDUGAI AMUAPISHA UBUNGE PROF. MANYA, JIJINI DODOMA, LEO
Spika wa Bunge, Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa kuteuliwa na Rais, Prof. Shukrani Manya, katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, leo. Kulia ni katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai
Post a Comment