Kampuni ya New Habari 2006 ambayo inazalisha Magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imesitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.
Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Dennis Msacky, amesema uzalishaji wa Magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu ijayo ya Desemba 07, 2020.
Post a Comment