Featured

    Featured Posts

MAMA SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA CHAMA CHA WAKANDARASI WANAWAKE TANZANIA, JIJINI DODOMA, LEO

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Chama cha Wakandarasi Wanawake Nchini Bibi Judith Udunga aliyeongoza Ujumbe wa Wanachama wa Chama hicho walipomtembelea Makamu wa Rais katika Makazi yake Kilimani Jijini Dodoma leo Disemba 04,2020 kwa lengo la kuelezea changamoto mbalimbali  wanazokabiliana nazo.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana