Featured

    Featured Posts

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ATIMIZA UMRI WA MIAKA 61, AKATA KEKI YA 'HAPPY BIRTHDAY' YAKE JIJINI DODOMA, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikata keki kusherehekea Siku yake ya kuzaliwa, kwenye makazi yake Kilimani Jijini Dododoma leo Januari 27,2021. samia ambaye alizaliwa Januari 27, 1960, sasa ametimiza umri wa miaka 61

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiwa na Wasaidizi wake baada ya kukata keki wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa aliyoifanya kwenye makazi yake Kilimani Jijini Dododoma leo Januari 27,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana