Featured

    Featured Posts

MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AFUNGUA TAWI LA CCM MATALE PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CC.M Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Jengo Jipya la Kisasa la Tawi la CCMMatale  Jimbo la Chonga Wilaya ya Mkoani Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba, jana, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za sherehehe za kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kuushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Mabodi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CC.M Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa mbele ya utepe  Jengo Jipya la Kisasa la Tawi la CCMMatale  Jimbo la Chonga Wilaya ya Mkoani Pemba, baada ya kulizindua akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba, jana,
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi akizungumza katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo Jipya la Kisasa la Tawi la CCM Matale Pemba, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi katika hafla ya Ufunguzi wa Tawi la CCM Matale Chonga, akiwa katika ziara yake Kisiwanin Pemba ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar

WANACHAMA Wapya wa Chama Cha Mapinduzi wakila kiapo cha Ahadi ya Chama Cha Ma;pinduzi baada ya kukabidhiwa Kadi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa jengo jipya la  Tawi la CCM Matake Chonga

WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Chonga wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi wakati akiwahutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengi jipya la Tawi la CCM Matale Pemba.

WANACHAMA wa CCM Chonga wakifuatila hafla ya Ufunguzi wa Jengo lao la Tawi la CCM Matale Pemba, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi (Picha zote na Ikulu, Zanzibar).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana