Featured

    Featured Posts

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI, MAALIM SEIF WAFUNGUA JENGO LA OFISI ZA ZSSF TIBIRINZI KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 57 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Jengo jipya la Ofisi za ZSSF Tibirizi “Hifadhi Building” Chakechake Pemba. ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kusherehekea Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  Kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisaidia kushika utepe huo.
Baadhi ya viongozi wakiwa kwenye hafla hiyo.
Rasi wa Zanzibar Do. Hussein Ali Mwinyi skizungumza kwenye hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika viwanja vya Jengo Jipya la Ofisi za ZSSF la Hifadhi Building, baada ya kulifungua ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kuushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Wapili kulia ni Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali.(Picha zote na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana