RAIS DK. MAGUFULI AKIWA NA ASKOFU MSAIDIZI WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA BUKOBA MHASHAMU DK. KILAINI MKOANI KAGERA, HIVI KARIBUNI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba Mhashamu Dk. Methodius Kilaini, baada ya kufungua majengo ya Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ihungo alipokuwa ziarani mkoani Kagera wiki iliyopita. Shule hiyo iliharibika wakati wa tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba Septemba 10, 2016 imefanyiwa ukarabati uliogharimu Sh. Bilioni 10.9 (Picha na Ikulu).
Post a Comment