Featured

    Featured Posts

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WAPYA WA UNGUJA NA PEMBA IKULU MJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mgeni Khatib Yahya,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Sadifa Juma Khamis,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Rashid Simai Msaraka,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Rashid Makame Shamsi, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Abdalla Rashid Ali, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Aboud Hassan Mwinyi,kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha zote na Ikulu, Zanzibar).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana