Featured

    Featured Posts

SPIKA NDUGAI AONGOZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE ,AREHEMU MARTHA UMBULLA

Spika wa Bunge , Job Ndugai akiwaongoza wabunge na waombolezaji wengene kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa  aliyekuwa  mbunge wa viti maalumu, marehemu Martha Umbulla kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma Januari 23,2021. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
sPIKA nDUGAI AKISOMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI.

Mtoto wa kwanza wa marehemu Martha Umbulla, Innocent Umbulla akielezea kuhusu kifo cha mamake.


Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ali akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu, Martha Umbulla aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu upitia CCM Mkoa wa Manyara.







 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana