Wakala wa Barabara Vijijini (Tarura) kupitia kwa Mratibu wa Mratiu wa Tarura Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Lusako Kilembe ameahidi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Binilith Mahenge kupanda miti kando ya barabara za Jiji la Dodoma kuunga juhudi za kuibadilisha Dodoma kua ya Kijani.
Ahadi hiyo ameitoa baada ya kushiriki upandaji miti 3700 eneo la Iseni Park nyuma ya jengo la Hazina jijini Dodoma Januari 16, 2021.
Post a Comment