Waziri Dk. Gwajima akikabidhiwa zawadi ya kuku na Katibu Mkuu wa Kikundi cha Tusumuke,
Dk. Gwajima akiangalia nyaraka alipotembelea banda la Chama cha Maendeleo ya Jamii (CODEPATA) wakati wa maonesho hayo yaliyowashirikisha vijana na, wanawake na wenye ulemavu wanaonufaika na mikopo ya asilimia 10 itokanayo na mapato ya halamashauri nchini.
Waziri Gwajima akiondoka baada ya kutembelea maonesho hayo yanayofanyika nje ya Hoteli ya Morena jijini Dodoma. Zaidi ya sh. bil. 23 zimekopeshwa kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu nchini.
Post a Comment