rais wa chama cha wataalamu wa maendeleo ya jamii Tanzania (CODEPATA) Bw. Wambura Sunday,akitoa taarifa kwa washiriki wakati wa ufunguzi wa kongamano na Mkutano Mkuu wa Wataalam wa Maendeleo ya Jamii (CODEPATA) unaofanyika jijini Dodoma
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Dk. John Jingu,akiwaeleza jambo washiriki wakati wa ufunguzi wa kongamano na Mkutano Mkuu wa Wataalam wa Maendeleo ya Jamii (CODEPATA) jijini Dodoma.
Waziri Gwajima akihutubia wakati wa mkutano huo.
Sehemu ya watalaamu wa maendeleo ya jamii wakiwa katika mkutano huo.
Imeandaliwa na Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment