Featured

    Featured Posts

KANISA HALISI LAZINDUA MNARA WA UFAHAMU ULIOANZIA TANZANIA NA KWENDA MATAIFA MENGINE

Baba wa Uzao Halisi na Mama wa Uzao Halisi (Katikati) wakiwa na Uzao wa Kanisa hilo mbele ya Mnara wa Ufahamu Ulioanzia Tanzania na Kwenda Mataifa Mengine, baada ya kuuzindua Mnara huo katika Ibada kubwa maalum iliyofanyika kwenye Kanisa hilo, Februari 2, 2021. 
Baba wa Uzao Halisi na Mama wa Uzao Halisi (Katikati) wakiwa na Uzao wa Kanisa hilo mbele ya Mnara wa Ufahamu Ulioanzia Tanzania na Kwenda Mataifa Mengine, baada ya kuuzindua Mnara huo katika Ibada kubwa maalum iliyofanyika kwenye Kanisa hilo.
Zifuatazo ni taswira katika picha wakati wa Ibada hiyo👇
Baba wa Uzao Halisi akiwa na Mama wa Uzao Halisi wakati wanasubiri Uzao kuja mbele ya Mnara huo.
Baba wa Uzao Halisi (kulia) alipokuwa akiwaelekeza  Uzao sehemu ya kujipanga mbele ya Mnara huo
Baadhi ya Uzao wakionesha furaha baada ya kupigwa picha mbele ya Mnara huo.

Kisha Baba wa Uzao Halisi na Uzao wote wakaingia Kanisani na kuendelea na Ibada hiyo huku wote wakiburudika kwa Soda kufurahia Uzinduzi wa Mnara huo👇







Baba wa Uzao Halisi akicheeza wimbo wa kumtukuza Mungu Baba huku akiwatazama Uzao kwa raha na upendo uliopitiliza akiwa na soda yake aliyokuwa akiinywa taratibu👇.




Mama wa Uzao Halisi na Dada wa Uzao Halisi wakicheza wimbo wa kumtukuza Mungu Baba wakati wa Ibada hiyo kubwa.
Baba wa Uzao Halisi akiendelea na Ibada hiyo ambapo pia alifanya Dua ya Shukrani kumwinua Rais Dk. John Magufuli na wasaidizi wake wote.👇














Kuhani wa Kanisa hilo akitoa dua ya Shukrani mwishoni mwa Ibada hiyo.     Imekuwa

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana