Featured

    Featured Posts

KUWASILI MWILI WA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD UWANJA WA NDEGE WA ZANZIBAR.

 

MWILI wa Marehemu aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ukishushwa katika Helikota ya  JWTZ baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar ukitokea Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Aliu Mwinyi na (kushoto)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleimn Andulla na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magjaribi Unguja Mhe.Idreisa Kitwana Mustafa na Viongozi wengi wa Serikali na Chama wakiupokea Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, ulipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amari Karume Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuangwa na Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mnazi mmoja na kusafirika kwenda Pemba kwa maziko leo jioni(Picha na Ikulu) 

WANANCHI wa Zanzibar wakiwa katika viwanja vya Mnazi mmoja wakisubiri kusalia mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,katika viwanja hivyo kabla ya kusafirishwa kwenda Pemba kwa maziko.(Picha na Ikulu)

 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana