Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally akitembelea maonesho ya Historia ya chama hicho baada ya kuyafungua rasmi katika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Februaari 6, 2021, yanayoenda sambamba na maadhimisho ya miaka 44 ya chama hicho kilichozaliwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya TANU cha Tanzania Bara na Afro Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Maonesho hayo yataendelea kuwepo hadi mwisho wa mwezi huu wa Februari ambapo wananchi watapata fursa ya kuona na kujifunza historia ya chama hicho kikongwe nchini na Afrika.Mdau nakuomba uendelee kuangalia clip hii ya video, Dkt Bashiru akitembelea maonesho hayo Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment