Featured

    Featured Posts

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ALIVYONOGESHA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE NA WASICHANA KATIKA SAYANSI DUNIANI, JANA

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana,  Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. 
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo juu ya Somo la Sayansi kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Shule ya Msingi Kawe alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biology kutoka kwa Mwanafunzi Aisha Yahya wa Shule ya Sekondari Juhudi alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Wapili kulia ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Fani ya Umeme kutoka kwa Mwanafunzi Esther Fabian wa Chuo cha VETA Dar es salaam alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika jana, Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Wapili kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akiangalia Viatu vya aina mbalimbali vinavyotengenezwa na Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo Juu ya Somo la Biomedical Equipment Engineering kutoka kwa Mwanafunzi Dotnatha Ntunga wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (DIT) alipotembelea maonesho kwenye Maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake na Wasichana katika Sayansi Duniani yaliyofanyika leo Febuari 11,2021 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Jijini Dar es salaam. Wapili kusho ni Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako.
Washiriki wakiwa ukumbini. (Picha zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana