Featured

    Featured Posts

PICHA: SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI JIJINI DODOMA

Wajumbe wa kamati ya Bunge ya uongozi wakisimama na kumkumbuka aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Manyara, Martha Umbulla wakati wa kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kujadili maelezo kuhusu majukumu ya kamati ya uongozi, maelezo ya Spika kuhusu Shughuli za Mkutano wa pili wa Bunge, kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Pili wa Bunge pamoja na ratiba yake kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akizungumza wakati wa kikao cha kamati ya uongozi kilichokaa na kujadili maelezo kuhusu majukumu ya kamati ya uongozi, maelezo ya Spika kuhusu Shughuli za Mkutano wa pili wa Bunge, kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Pili wa Bunge pamoja na ratiba yake kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wajumbe wa kamati ya Bunge ya uongozi wakiwa katika kikao cha kamati hiyo kilichokaa na kujadili maelezo kuhusu majukumu ya kamati ya uongozi, maelezo ya Spika kuhusu Shughuli za Mkutano wa pili wa Bunge, kupokea na kujadili Shughuli za Mkutano wa Pili wa Bunge pamoja na ratiba yake kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana