Featured

    Featured Posts

RC KUNENGE AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHINA JENERALI WA UHAMIHAJI NCHINI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Aboubakar Kunenge akiwa na Kamishina Jenerali wa Uhamihaji hapa Nchini Dk. Anna Makakala, kabla ya mazungumzo yao, leo. Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwa Mkuu huyo wa mkoa, yalihusu masuala mbalimbali ikiwemo kuimarisha utendaji wa kazi katika masuala ya Uhamihaji.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana